diamondplatnumzfamily Diamond Platnumz Family 😷 1159780316

Official Diamond Platnumz Family Updates 📍EXCLUSIVE 📍PHOTOS 📍NEWS KWA MATANGAZO NICHEKI Whatsapp 0788 762711 ☆ #AfricanBeauty 👇 https://youtu.be/KjNl1FXE0A8

52560 posts


MAMBO MAKUBWA MAWILI YANAYOKUZUIA KUPATA MATOKEO UNAYOYATAMANI MAISHANI

Mambo yanayokuzuia,yamegawanyika Katika @diamondplatnumzfamily
MAMBO MAKUBWA MAWILI YANAYOKUZUIA KUPATA MATOKEO UNAYOYATAMANI MAISHANI Mambo yanayokuzuia,yamegawanyika Katika makundi Makubwa mawili ya watu duniani: 🔻 Moja ni wale ambao bado hawajui Kitu kinachowapasa kufanya.Hawa bado wako kwenye hatua ya kutafuta Kitu sahihi kwenye maisha yao,Wengi utakuta leo wanajaribu hiki kisha kesho wako kwenye kingine,wengine umri umeshaenda na kila siku wakijiuliza “Hivi naelekea wapi?” Bado hawana majibu. 〰️ Tatizo kubwa la watu wa namna hii ni kuwa hawafanyi juhudi ya kutafuta jibu la swali hili na wengine ni kama wamekubali kuendelea kuishi bila mwelekeo wanaojua.kama wewe ni mmoja wao,tumia dakika chache kabla haujaanza siku na ujiulize swali hili na uandike majibu yako.Kumbuka “KAMA HAUJUI UNAKOKWENDA,UTAKOSA HAMASA YA MAISHA. 〰️ Kama haujui unakokwenda hauna tofauti na mtu aliyejikuta Stand ya mabasi na hajui apande lipi,utaendelea kubakia Stand wakati wenzako wanakuja na wanakuacha hapo hapo,usiwaonee Wivu. 🔻 Kundi la pili ni wale wanaojua wanakokwenda tayari na wanajua HATUA wanazopaswa kuanza kuzichukua ila UOGA na HOFU imewajaa na INAWAZUIA kabisa. 〰️ Hawa ni wale ambao wameshasoma vitabu vingi,wameshahudhuria semina nyingi na ni wajuzi wa kuelezea mbinu za kufanikiwa na namna ya kubadilisha maisha.Yaani hawa hawana tatizo kuelewa kinachotakiwa kufanyika.ILA SASA: 〰️ Wakifikiria Gharama ya kulipa wanaogopa,wakifikiria mabadiliko wanayopaswa kuyafanya maishani mwao wanaogopa,wakifikiria kuanza upya kabisa wanaona aibu ,wakifikiria kuachana na baadhi ya watu ili waanze kufukuzia ndoto zao wanaogopa maumivu. 🔻 KUMBUKA:Hakuna matokeo MAKUBWA kwenye maisha bila MABADILIKO Makubwa.Kama wewe ni mmoja wao,leo anza kujiuliza mabadiliko unayotakiwa kuyafanya na Dhamiria kuyafanya wiki hii. See You At The Top Credit :- @joel_nanauka #TIMIZAMALENGOYAKO #DreamsEndwhenUgiveUp @diamondplatnumzfamily
In photo: @diamondplatnumzfamily

March 12 2018
621 likes, 4 comments. Filter: Normal


My Comments


Post a Comment:


Comments

emanuel_sure_boy ig
emanuel_sure_boy Emanuel sure boy
Dah unanifanya niingize kitu kipya kila makala yko inapoandikwa, kweli Hakuna matokeo makubwa kwenye maisha bila mabadilko makubwa 💪💪 salute xn mwamba
bellabaysa ig
bellabaysa Bella Baysa
kaka kama nimekuelewa sana kiundani nikweli kabisa ulicho kesema
nurdin1140 ig
nurdin1140 Nurdin Hasan
Nimekusoma kweli kabisa tuta yafanyia Nazi tusiachwe stendi yabas

Likes

bizototo ig
bizototo
Bizo Toto
rajabactechnician ig
rajabactechnician
Rajab Ac Technician
abdullahi_buush ig
abdullahi_buush
abdullahi buush
sule_francisco ig
sule_francisco
tenente coronel
steve_c.m ig
steve_c.m
Steven Charles
kamalado ig
kamalado
Edwin Mwiguru
khamism686 ig
khamism686
mohd khamis
kitungua ig
kitungua
Michael Kitungua
creater_fallen_tree ig
creater_fallen_tree
Creater Fallen Tree
roselyimo.lyimo ig
roselyimo.lyimo
Rose Will Lyimo
issamtundu ig
issamtundu
issa mtundu
ayshamukherjy ig
ayshamukherjy
ayshamukherjy
husna.mapunda ig
husna.mapunda
Aunt Husna Z Aunt
gettiedelia ig
gettiedelia
Gettie delia
johnmbele7 ig
johnmbele7
John Lalugusi
mrs_kareem_original ig
mrs_kareem_original
Allahhamdulillah🙏
jackpeal ig
jackpeal
jackycosh
jonathanjoseph6609 ig
jonathanjoseph6609
jonathan joseph
_princes_maryam ig
_princes_maryam
maryam shukry
gershomnigel ig
gershomnigel
Gershom Kartel Nigel
wakasu.mubarak ig
wakasu.mubarak
Wakasu Mubarak
dady_shabenga ig
dady_shabenga
Dady Shabenga
kisaplatnumz ig
kisaplatnumz
KISAPLATNUMZ
elirygeorge ig
elirygeorge
Eliry George
husna__yahya ig
husna__yahya
Husna Yahya
kibojizzle ig
kibojizzle
kibojizzle
reno_byser ig
reno_byser
Reno Byser¥
chinaza.favour ig
chinaza.favour
Chinaza Favour
hassanishedafa ig
hassanishedafa
Hassani Shedafa
jijackis_mafialand ig
jijackis_mafialand
jijackis mafialand
princejabreez ig
princejabreez
Prince Jabreez
paci_jc ig
paci_jc
Paci Jc
shebby_rassy ig
shebby_rassy
Shebby Rasta
binamu_plazza ig
binamu_plazza
BINAMU_PLAZZA
mohamedall5984 ig
mohamedall5984
Mohamed Ally
silvestermasuva ig
silvestermasuva
Sylvinho De Masuvah
justinhakorimana ig
justinhakorimana
Justin Hakorimana
ic39331 ig
ic39331
ic3 - iggi3💜
minay_alliy ig
minay_alliy
minay ally*
clara_dancan ig
clara_dancan
Clara Duncan
platnum_official_tz ig
platnum_official_tz
mtanashati classic
oscar.john ig
oscar.john
John Mkemwa
mwemezitiba ig
mwemezitiba
Tiba Mwemezi
xhomy_tz ig
xhomy_tz
xhomy Tz
hawa7200 ig
hawa7200
Hawa Hamad
dady.kevin ig
dady.kevin
Dady Kevin
kiing_khaan ig
kiing_khaan
Khalfan juma
laliswaleh ig
laliswaleh
Lali Swaleh Omar
konadufrancis ig
konadufrancis
Konadu Francis
ferdinandomodest ig
ferdinandomodest
ferdinando modest
saidally60 ig
saidally60
saidally60
agastiantino ig
agastiantino
agustino joseph
criss_isack ig
criss_isack
Isack Mathias
ndayishimiye.onesphore ig
ndayishimiye.onesphore
ndayishimiyeonesphore
calvinjonathan123 ig
calvinjonathan123
calvin jonathan
yuz_kid_jr ig
yuz_kid_jr
yusuph abdallah nt
eduroba ig
eduroba
roba xfile
faridakusher ig
faridakusher
Farida K Usher
milleniumedward8 ig
milleniumedward8
perfect edward
irenempax ig
irenempax
Irene Mpax
barrackpande ig
barrackpande
Barrack O. Pande
larios_kariano ig
larios_kariano
Larios Ahossi
ibrampenye ig
ibrampenye
Brammie levizZ
kulwavisent ig
kulwavisent
Kulwa Visent
japhethoody ig
japhethoody
Japhet Hoody
noelman12 ig
noelman12
Noel Mathias
pesh_penyoo ig
pesh_penyoo
pesh kwamboka
enest_mkali_wao ig
enest_mkali_wao
Ernest Gabriely
hp.rashid ig
hp.rashid
Rashid Amblosin HP
amanlian ig
amanlian
Lian Aman
beyandiaye ig
beyandiaye
Beya Ndiaye
revocatusrobert ig
revocatusrobert
revocatusrobert
demarbiquea.bia ig
demarbiquea.bia
Demarbique A. Biague
david_mmbando ig
david_mmbando
david mmbando
jasminmambo ig
jasminmambo
Jasmin Mambo
respicious_potion ig
respicious_potion
respicius trsphory
vaihna ig
vaihna
Vaihna Jj
alemutomas ig
alemutomas
Tomas Alemu
florencefederick5436 ig
florencefederick5436
FlorenceFederick
amiritutu ig
amiritutu
Amiri Tutu
massawe.merry ig
massawe.merry
Merry Massawe
akacukwu ig
akacukwu
akacukwu mbanefo
vanyhimself ig
vanyhimself
VAN_DARESALAMA
yvonneboniuz ig
yvonneboniuz
yvonne boniuz
benedict_eric ig
benedict_eric
Eric Benedict
ruthmuasya ig
ruthmuasya
Ruth Muasya
hasraseif ig
hasraseif
hasra seif swed
majuniorboy ig
majuniorboy
majunior boy
xtar_champion ig
xtar_champion
⭐⭐⭐Mind thnkng den talk...
asmahsadaty ig
asmahsadaty
Asmah Sadaty
josephruzendochitongwa ig
josephruzendochitongwa
Joseph Ruzendo Chitongwa


More Posts from this user

Diamond Platnumz Family 😷 cornbit cornbit instagram diamondplatnumzfamily ???? instagram